0
Lowasa aingia mtaani kukusanya maoni ya wananchi jionee
Lowasa aingia mtaani kukusanya maoni ya wananchi jionee

Mgombea Urais 2015 Tanzania kupitia headlines za UKAWA Edward Lowassa leo August 24 2015 aliamua kuwashtukiza Watanzania kwa kwenda kuwatembelea moja kwa moja mtaani kuwasikiliza matatizo yao na kupanda nao daladala kama inavyoonekana kwenye hizi pic… Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
24Aug2015

0
POLISI MWANZA WATAWANYISHA UKAWA KWA MABOMU YA MACHOZI
POLISI MWANZA WATAWANYISHA UKAWA KWA MABOMU YA MACHOZI

  Jeshi la polisi jiji Mwanza limetumia mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa vyama vinavyounda ukawa ili wasiandamane kwenda uwanja wa ndege wa Mwanza kumpokea mgombea urais kupitia Chadema, Edward Lowassa, anayetarajiwa kuwasili jijini huko … Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
16Aug2015

0
Polisi Wazuia Msafara wa LOWASSA Kushiriki Mazishi ya Mzee Kisumo
Polisi Wazuia Msafara wa LOWASSA Kushiriki Mazishi ya Mzee Kisumo

Polisi mjini Mwanga, mkoani Kilimanjaro umezuia msafara wa mgombea urais kupitia Chadema, Edward Lowassa uliokuwa unaelekea Usangi kuhudhuria mazishi ya kada wa CCM, Peter Kisumo.Vyanzo vya kuaminika toka mjini Mwanga vinasema, polisi walizuia msaf… Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
13Aug2015

0
Lowassa ni mbinafsi “Watanzania mnatakiwa kufahamu kuwa mnapokutana na Lowassa, Ninyi sio kitu bali kitu ni Lowassa,”
Lowassa ni mbinafsi “Watanzania mnatakiwa kufahamu kuwa mnapokutana na Lowassa, Ninyi sio kitu bali kitu ni Lowassa,”

Hamfrey Polepole na Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa wamekabana kwa hoja kali kuhusu uamuzi wa Chadema na Ukawa kwa ujumla kumpokea Edward Lowassa na kumpa nafasi ya kugombea Urais.Polepole na Msigwa walikutana jana katika kipindi ch… Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
12Aug2015

0
Lowassa Amtuhumu Rais Jakaya Kikwete Kwa Kuuharibu Uchumi wa Tanzania...... Asema Vitu vimepandishwa na Tembo Wanauawa Hovyo
Lowassa Amtuhumu Rais Jakaya Kikwete Kwa Kuuharibu Uchumi wa Tanzania...... Asema Vitu vimepandishwa na Tembo Wanauawa Hovyo

EDWARD Lowassa, mgombea urais wa Chadema amesema, Rais Jakaya Kikwete ameharibu uchumi wa Tanzania.Akizungumza na wafuasi wa Chadema pia UKAWA katika ofisi za Chadema mara baada ya kuchukua fomu ya kuwania urais kupitia chama hicho jana mchana, Low… Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
11Aug2015

0
Breaking News: Jeshi la Polisi Lakanusha Kupiga Marufuku Maandamano ya Kumsindikiza Kuchukua fomu Mgombea urais Chadema,Edward Lowassa
Breaking News: Jeshi la Polisi Lakanusha Kupiga Marufuku Maandamano ya Kumsindikiza Kuchukua fomu Mgombea urais Chadema,Edward Lowassa

Kamanda wa polisi kanda maalum ya Dar  es  Salaam Suleiman Kova amekanusha  kupiga marufuku  maandamano  ya  kumsindikiza  Lowassa  Kuchukua  fomu ya  kugombea  urais  ofisi  za  tume  ya  taifa  ya  uchaguzi.Kova amesema kuwa maandamano wanayo ya… Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
10Aug2015

0
Mjumbe Tume ya Warioba amvalia njuga Lowassa
Mjumbe Tume ya Warioba amvalia njuga Lowassa

kutoka gazeti la mwananchi Dar es Salaam. Mjumbe wa Iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Humphrey Polepole amesema yupo tayari kufanya kampeni za kumpinga mgombea urais wa Chadema na Ukawa, Edward Lowassa kwa madai kuwa ana doa l… Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
09Aug2015

0
Angalizo Kwa Dr. Slaa na Edward Lowassa!
Angalizo Kwa Dr. Slaa na Edward Lowassa!

Kabla sijaanza kuelezea lolote napenda kumukumbusha Slaa ambaye ana taaluma ya upadri.Katika kitabu cha matendo ya Mitume kuna ushahidi kwa Sauli alikuwa muuaji na tena alikuwa anauwa mitume lakini alipata badiliko la kweli na kujiunga na mitume we… Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
04Aug2015

0
KUHUSU DK. SLAA KUMKATAA LOWASSA UKWELI NI HUU
KUHUSU DK. SLAA KUMKATAA LOWASSA UKWELI NI HUU

 Kutoka gazeti la uwazi.NI kweli, ukweli ni huu! Wakati maelfu ya watu nchini wakiamini kutoonekana hadharani kwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibroad Slaa kunatokana na kuchukizwa na kitendo cha kukaribishwa … Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
04Aug2015

0
Breaking News: LOWASSA Atangaza Rasmi Kuhamia CHADEMA.....Asema CCM siyo Baba Yake Wala Mama Yake
Breaking News: LOWASSA Atangaza Rasmi Kuhamia CHADEMA.....Asema CCM siyo Baba Yake Wala Mama Yake

Waziri  mkuu wa  zamani  Edward  Lowassa  ametangaza  rasmi  kukihama  chama  cha  mapinduzi, CCM mchana  huu  na  kutangaza  kuhamia  CHADEMA..... Lowassa  ametoa  kauli hii Bahari  Beach , Dar akiwa  sambamba  na  viongozi  mbalimbali  wa  UKAW… Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
28Jul2015

0
TUNDU LISSU AFUNGUKA UKWELI WOTE KUHUSU EDWARD LOWASSA.
TUNDU LISSU AFUNGUKA UKWELI WOTE KUHUSU EDWARD LOWASSA.

Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
28Jul2015

0
Msindai Ajitwisha Msalaba Wake......Aachana na Lowassa
Msindai Ajitwisha Msalaba Wake......Aachana na Lowassa

Aliyekuwa mmoja wa wapambe wakubwa wa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa wakati wa safari ya matumaini, Mgana Msindai, sasa ameelekeza nguvu kuwania ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) jimbo jipya la Mkalama mkoani Singida.Msindai alikuw… Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
27Jul2015

0
LOWASSA Atua Rasmi CHADEMA.......Kutangazwa Muda Wowote Ndani ya Wiki Hii
LOWASSA Atua Rasmi CHADEMA.......Kutangazwa Muda Wowote Ndani ya Wiki Hii

Mpango wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kumtangaza kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Edward Lowassa, kujiunga na chama hicho uliotarajiwa kutekelezwa jana, umekwama huku kukiwa na taarifa za mgawanyiko ndani ya Umoja wa Katiba ya Wa… Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
27Jul2015

0
Ukawa sasa waitisha CCM
Ukawa sasa waitisha CCM

Hai. Mwenyekiti wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Freeman Mbowe amesema kampeni za mwaka huu zitakazofanywa na umoja huo, hazijawahi kuonekana tangu nchi ipate uhuru 1961.Mbowe ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema, alisema Ukawa itafanya kam… Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
27Jul2015

0
Lowassa awagawa CUF, Chadema
Lowassa awagawa CUF, Chadema

MPANGO wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kumtangaza kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Edward Lowassa, kujiunga na chama hicho uliotarajiwa kutekelezwa jana, umekwama huku kukiwa na taarifa za mgawanyiko ndani ya Umoja wa Katiba ya W… Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
27Jul2015

0
 Lowasa live ndani ya Kikao na UKAWA
Lowasa live ndani ya Kikao na UKAWA

Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
27Jul2015

0
Team Lowassa Wazidi Kupigwa Chini Ubunge CCM!
Team Lowassa Wazidi Kupigwa Chini Ubunge CCM!

Hadi sasa Pindi Chana, Diana Chilolo, Shamsa Mwangunga na Lediana Mng'ong'o wameshindwa katika kura za maoni viti maalum. Unaweza kuwaongeza pia Nchimbi, Ole Medeye etc etc. … Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
26Jul2015

0
Wiki Ya Mtikisiko: Lowassa na Timu Yake Wasubiriwa kwa Hamu UKAWA.......Zaidi ya Viongozi 950 Wa CCM Kutimkia CHADEMA Wiki hii
Wiki Ya Mtikisiko: Lowassa na Timu Yake Wasubiriwa kwa Hamu UKAWA.......Zaidi ya Viongozi 950 Wa CCM Kutimkia CHADEMA Wiki hii

Ni wiki ya mtikisiko. Hivi ndiyo unavyoweza kuelezea hali itakavyokuwa nchini kutokana na matukio makubwa ya kisiasa yanayotazamiwa kutokea ndani ya wiki inayoanza leo ambayo yanaweza kubadili mwelekeo wa siasa za Tanzania.  Hali hiyo inatokana n… Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
26Jul2015

0
Shinikizo la Lowassa Kuhamia CHADEMA Lazidi Kupamba Moto......Mkewe Ampigia Magoti Akimsihi Asihame!!
Shinikizo la Lowassa Kuhamia CHADEMA Lazidi Kupamba Moto......Mkewe Ampigia Magoti Akimsihi Asihame!!

Shinikizo dhidi ya Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, la kumtaka akihame Chama Cha Mapinduzi (CCM) linazidi kuongezeka na katika timu yake ya ndani ni watu wawili tu wanaonekana kumtaka abakie ndani ya chama hicho.Habari za ndani ya vikao vya… Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
24Jul2015

0
 LOWASSA SASA RASMI UKAWA
LOWASSA SASA RASMI UKAWA

BAADA ya vuta nikuvute katika vyama vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kuhusu kukubaliwa au kutokubaliwa kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Ngoyai Lowassa kujiunga na umoja huo ili kuongeza nguvu ya kisiasa, hatimaye mwanasia… Read more »walumitz.blogspot.com

Read more »walumitz.blogspot.com
24Jul2015
 
 
Top