Usipokuwa na Ufahamu mkubwa, leo unaweza dhani eti nna Maslahi Binafsi... ila siku Huu Uchaguzi utapopita ndio mtakumbuka Nilichokuwa napost Hapa... Hebu jiulize kwanini wao wakione Chama Kibovu leo baada ya kukatwa wao????? Mbona siku zote hawaku… Read more »walumitz.blogspot.com
PICHA ZA MKUTANO WA CCM WAKIZINDUA KAMPEN ZAO VINJWA VYA JANGWANI DSM
MKUTANO WA CCM JANGWANI JANAWANANCHI WALIOJITOKEZA KATIKA FIESTA JANA KWENYE VIWANJA VYA JANGWANIMZEE YUSUPH NAYE KATIKA VIWANJA VYA JANGWANI JANADIAMOND KATIKA UBORA WAKE WA KUWAGAWA MASHABIKI WA MZIKI WAKE TANZANIAWarioba katika ubora wakeRais wa a… Read more »walumitz.blogspot.com
King Lawrenc Arudi Tena na Kudai Mtoto wa Diamond si Wake Bali ni wa Ivan Aliyekuwa Mume wa Zari....
Wakati jina la Latifah mtoto wa Diamond na Zari likizidi kukuwa, rafiki wa karibu wa aliyekuwa mume wa Zari, Ivan Ssemwanga, Kinglawrence amemtupia dongo Diamond akisema hakuhitajiki kipimo chochote cha vinasaba DNA ili kujua kuwa, Latifah si mtot… Read more »walumitz.blogspot.com
Picha ya Diamond na Zari Wakiwa Nusu UCHI Yawavuruga Mashabiki...
Stori zilizo zagaa mtaani ni kuwa wawili hawa( Diamond na Zari ) wanatarajia kupata mtoto wao hivi karibuni, lakini picha hii imeibua hisia tofauti miongoni mwa mashabiki wa mastaa hawa.Kundi kubwa kubwa linawalaumu wasanii hawa … Read more »walumitz.blogspot.com
Diamond Platnumz ashinda tuzo nyingine Afrika Kusini ‘African Achievers Awards’.
Msani wa bongo fleva Diamond Platnumz ameshinda tuzo ya ‘African Achievers Awards’ katika tuzo zilisofanyika Afrika kusini, Tuzo aliyoshinda Diamond ni ya Artist of the Year ‘Msanii Bora Wa Mwaka’.… Read more »walumitz.blogspot.com