Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa limelaani hatua ya Korea Kaskazini kurusha Kombora la masafa marefu. Umoja wa Mataifa umesema wamekuba...
RAIS KENYATTA: HATUWEZI KULIPA WALIMU
Wakati shule zote za serikali na za binafsi nchini Kenya zikianza kufungwa kuanzia hii leo, rais wa nchi hiyo, Uhuru Kenyatta akihutubia t...
Mlanguzi Mkuu wa Madawa ya Kulevya Aliyetoroka Jela Akamatwa Huko Brazil....
Mlanguzi mkuu wa madawa ya kulevya Brazil, Mario Sergio Machado Nunes 'O Goiano' akiwa mikononi mwa wanausalama. Mario Sergio Macha...
Wahamiaji 2000 waokolewa Mediterranea
Walinzi wa italia wanasema kuwa takriban wahamiaji 3,000 wako mashakani Walinzi wa pwani wa Utaliano wanasema kuwa waliaongoza shughuli za k...
KIMBUNGA CHAUA UFILIPINO
Waokoaji Kaskazini mwa Ufilipino wanachimbua ardhini kwa lengo kutafuta mamia ya wachimba madini, baada ya kukumbwa na kimbunga. Zaidi ya wa...
MAMBO 10 MUHIMU YA KUEPUKA ILI KUEPUKANA ADHABU YA SHERIA YA MITANDAO TANZANIA (cyber crime)
Sheria ya mitandao inaanza kutumika rasmi tarehe 1 septemba 2015, haya mambo 10 muhimu ili sheria hii isikukamate 1. Epuka Kusambaza ujumbe ...
SHEKAU ASEMA YU HAI
Kiongozi wa kundi la wapiganaji Waislamu wa Nigeria, Boko Haram, amekanusha ripoti kwamba ameuwawa au kutolewa katika uongozi. Katika rikodi...
Mtoto wa OSAMA BIN LADEN Aibuka..Atoa Ujumbe Mzito Kwa Marekani...Aagiza Mashambulizi
Kundi la kigaidi la A Qaeda limetoa ujumbe wa sauti ambao unadai kwamba umetoka kwa Hamza Bin Laden ,mwana wa Osama Bin Laden. Ujumbe huo un...
Nigeria yapanga kuunda silaha zake
Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari ameiamuru wizara ya ulinzi kujenga uwezo wa taifa hilo kujitengenezea silaha zake, haya ni kwa mujibu wa ta...
Kundi la waislamu lahukumiwa miaka 22 jela
Mahakama moja nchini Ethioipia imelipiga hukumu ya miaka 22 jela kundi moja la waislamu chini ya sheria tata ya kukabiliana na ugaidi. Washu...
Mabadiliko ya tabia ya nchi kupata Dawa?
Rais wa Marekani, Barack Obama amezindua kile alichokiita hatua muhimu zaidi ya kupambana na mabadiliko ya tabia nchi. Amesema kizazi hiki n...
Jeshi la Nigeria laokoa mateka 178 mikononi mwa Boko Haram
Jeshi nchini Nigeria limewaokoa watu 178 waliokuwa wakishikiliwa mateka na kundi la Boko Haram, wakiwemo watoto zaidi ya 100 katika jimbo la...
Ziara ya Obama:Anga ya Kenya kufungwa
Shirika linalosimamia safari za ndege nchini Kenya, KCAA, limetangaza kuwa anga ya Kenya itafungwa kwa muda wa dakika hamsini siku ya Ijum...
UNYONYESHAJI MAZIWA YA MAMA KWA MTOTO
Mama ambaye amejifungua mara ya kwanza anaweza kuhitaji msaada katika kunyonyesha. Msaidie ili aweze kuwa mtulivu na makini kwa kazi hiyo...
Ibada ya Eid yakumbwa na milipuko Nigeria
Jeshi nchini Nigeria linasema kuwa takriban watu 9 wameuawa kwenye mashambulizi mawili ya kujitoa mhanga kwenye mji ulio kaskazini mashari...
ISIS watumia mtoto kuchinja kichwa cha mateka
Horror: Video of the incident has been shared by ISIS supporters on social media and shows a child no older than 10 carrying out the bruta...
Viongozi wa Ulaya kuamua hatima ya Ugiriki
waziri wa uchumi wa ugiriki awasili Brussel Siku muhimu ya majadiliano kuhusu madeni ya Ugiriki, imeanza mjini Brussels, kuamua iwapo Ugirik...
Burundi:Uchaguzi waahirishwa tena
Uchaguzi wa Burundi umeahirishwa tena. Msemaji wa Rais Pierre Nkurunziza amesema uchaguzi utafanyika tarehe 21 Julai. Uchaguzi huo umekumbwa...
Mapinduzi mengine yaandaliwa Burundi
Mmoja wa viongozi katika mapinduzi yaliyozimwa nchini Burundi hivi karibuni ya kumpindua Rais Piere Nkurunziza ameiambia BBC kuwa waasi wa...
Watu 25 wauawa na wengine kujeruhiwa katika shambulio la bomu la kujitolea mhanga katika mji wa Zaria.
watu 25 wameripotiwa kufariki dunia katika shambulio la bomu la kujitolea mhanga katika mji wa Zaria. Maafisa wa serikali Kaskazini m...