Ukosefu na/ama upungufu wa nguvu za kiume, ni tatizo linalo wakabili mamilioni ya wanaume duniani. Zipo sababu nyingi zinazo sababisha tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume. Miongoni mwa sababu hizo ni pamoja na maradhi… Read more »walumitz.blogspot.com
Nina Ugonjwa wa Kupenda Wanawake Naweza Fanya lolote Nimpate Mwanamke...
Hili jambo kipindi cha nyuma sikuona kama ni tatizo lakini sasa naanza kuona ni tatizo. siku nimekaa nikapiga mahesabu ya idadi ya wanawake nliotembea nao ni zaidi ya 500 hao ndio ninawakumbuka. huwa nachanganyikiwa kabisa nikiona mwanamke....sija… Read more »walumitz.blogspot.com
Jitibu Magonjwa 300 Kwa Kutumia Mti wa Mlonge
Mlonge au moringa oleifera kwa kiingereza umekuwa ukijulikana kama mti wa miujiza kwa karne nyingi katika baadhi ya nchi za Afrika, Asia na katika nchi za Caribbean. Mti huu umeripotiwa kutibu zaidi ya magonjwa 300 ikiwemo magonjwa mbalimbali sugu… Read more »walumitz.blogspot.com
Ugonjwa wa figo na sababu za kushindwa kufanya kazi
wapenzi na karibuni katika kipindi kingine cha Ijue Afya Yako. Kipindi ambacho hujadili na kuzungumzia masuala mbalimbali yanayohusu afya na tiba yakiwemo magonjwa na namna ya kujikinga nayo ili kuiwezesha jamii kuimarisha afya kwa ujumla. Katika kip… Read more »walumitz.blogspot.com
Mambo Muhimu Ya Uchunguzi Afya Kwa Mwanaume
Madaktari huunganisha habari unayotoa kutoka kwenye dalili unazohisi, historia ya maradhi yaliyowahi kukusumbua, uchunguzi wa mwili wako pamoja na kufanyiwa vipimo ili kugundua maradhi au hatari ya kupata maradhi fulani kama kisukari.Kupima afya ni m… Read more »walumitz.blogspot.com
Tatizo la Nguvu za Kiume na Suluhisho lake
Makala hii ni maalumu kwa ajili ya wanandoa tu na si vinginevyo au kama elimu kwa wanandoa watarajiwa. Muogope Mungu uzinzi ni dhambi kubwa sana.Katika kilele cha mwisho cha furaha katika maisha ya ndoa, kama inavyofahamika, ni sherehe inayopatikana … Read more »walumitz.blogspot.com
Ufahamu ugonjwa wa ‘Mkanda wa jeshi’
MPENZI msomaji wa ukurasa huu wa afya, leo tuangalie ugonjwa unaojulikana kama mkanda wa jeshi. Tumekuwa tukishuhudia baadhi ya watu wenye ugonjwa huu wakionekana kuwa wana maambukizi ya VVU bila kuwa na uhakika wa afya zao au bila kutambua chanzo sa… Read more »walumitz.blogspot.com
UGONJWA WA KISUKARI UNAVYOATHIRI MWILI
Haina mashaka yoyote kuwa vyakula vya nafaka vinanoga! Au wewe unasemaje kuhusu wali mweupe, pilau, biriani? Na bado hapo hujagusia chipsi, chapati, kitumbua, andazi, bagia na ugali wa sembe.Sina shaka yoyote ile kuhusu ubaya wa kubugia kwa wingi v… Read more »walumitz.blogspot.com
Wahamiaji 2000 waokolewa Mediterranea
Walinzi wa italia wanasema kuwa takriban wahamiaji 3,000 wako mashakaniWalinzi wa pwani wa Utaliano wanasema kuwa waliaongoza shughuli za kuwaokoa wahamiaji 2,000 hivi ambao walituma ishara ya kuwa taabani kwenye mashua nje ya pwani ya Libya. Mashua … Read more »walumitz.blogspot.com
Kipindupindu Chatikisa Dar, Watatu Wafariki, 34 Vitandani
Wauuguzi katika Hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala akitoa matibabu kwa wagonjwa wa kipindipindi waliolazwa katika kambi ya hospitali ya Mwananyamala iliyopo manispaa ya Kinondoni jijini Dar es saaam.Wauguzi wakiwa katika kambi ya dharura ya kutoa mat… Read more »walumitz.blogspot.com
MATATIZO YA MACHO: CONJUCTIVITS):
Ni maradhi ya macho sehemu ya utando au ute sehemu ya conjuctiva, ambayo inaunganisha sehemu ya ndani ya jicho na kope. SABABU: Yanaweza kusababishwa na vumbi, moshi, upepo ulio na ubaridi, kuweza kutumia macho kwa muda mrefu kutizama kwa mfano … Read more »walumitz.blogspot.com