Bi. Anna Mghwira (56 Hatimaye Chama cha ACT – Wazalendo kimempitisha mwenyekiti wake, Anna Mghwira (56) kuwania urais baada ya mshauri wake, Profesa Kitila Mkumbo aliyekuwa amechukuliwa fomu kukataa kubeba jukumu hilo.Sambamba na Mghwira, mkutano mk… Read more »walumitz.blogspot.com
Mgombea urais aichanganya ACT- Wazalendo
Mchakato wa kumpata mgombea urais umeendelea kukichanganya Chama cha ACT – Wazalendo na sasa kimelazimika kuanza upya vikao vya kumpata mgombea mwingine atakayepeperusha bendera ya urais kwa tiketi ya chama hicho.Mkanganyiko huo umetokea baada ya mgo… Read more »walumitz.blogspot.com
Prof:Ibrahim Lipumba Ang'atuka
Prof. Lipumba akiongea na waandishi wa Habari kwenye Hoteli ya PeacockProf. Ibrahim Lipumba ametangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti kwenye chama chake cha Wananchi CUF. Ametangaza kuachia ngazi uenyekiti wa chama hicho mapema leo, alipokuwa akizungu… Read more »walumitz.blogspot.com
KUHUSU DK. SLAA KUMKATAA LOWASSA UKWELI NI HUU
Kutoka gazeti la uwazi.NI kweli, ukweli ni huu! Wakati maelfu ya watu nchini wakiamini kutoonekana hadharani kwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibroad Slaa kunatokana na kuchukizwa na kitendo cha kukaribishwa … Read more »walumitz.blogspot.com
Breaking News: LOWASSA Atangaza Rasmi Kuhamia CHADEMA.....Asema CCM siyo Baba Yake Wala Mama Yake
Waziri mkuu wa zamani Edward Lowassa ametangaza rasmi kukihama chama cha mapinduzi, CCM mchana huu na kutangaza kuhamia CHADEMA..... Lowassa ametoa kauli hii Bahari Beach , Dar akiwa sambamba na viongozi mbalimbali wa UKAW… Read more »walumitz.blogspot.com
Maamuzi Rasmi ya ACT Wazalendo Kupitia Kwa Zitto Kabwe Kuhusu Kujiunga na UKAWA
Headlines zimeendelea kwenye mwaka huu wa Uchaguzi 2015 ambapo UKAWA sio jina geni kwa Watanzania, vyama mbalimbali vya upinzani vikiwemo CHADEMA na C.U.F vilijiunga na vinataka kumtangaza mgombea mmoja atakaewawakilisha.Zitto Kabwe ambaye aliondo… Read more »walumitz.blogspot.com
Team Lowassa Wazidi Kupigwa Chini Ubunge CCM!
Hadi sasa Pindi Chana, Diana Chilolo, Shamsa Mwangunga na Lediana Mng'ong'o wameshindwa katika kura za maoni viti maalum. Unaweza kuwaongeza pia Nchimbi, Ole Medeye etc etc. … Read more »walumitz.blogspot.com
Wiki Ya Mtikisiko: Lowassa na Timu Yake Wasubiriwa kwa Hamu UKAWA.......Zaidi ya Viongozi 950 Wa CCM Kutimkia CHADEMA Wiki hii
Ni wiki ya mtikisiko. Hivi ndiyo unavyoweza kuelezea hali itakavyokuwa nchini kutokana na matukio makubwa ya kisiasa yanayotazamiwa kutokea ndani ya wiki inayoanza leo ambayo yanaweza kubadili mwelekeo wa siasa za Tanzania. Hali hiyo inatokana n… Read more »walumitz.blogspot.com
ACT-Wazalendo Kuvuna Wabunge Kutoka CCM na CHADEMA
Baada ya vumbi la uchaguzi mkuu kuanza kumtika tumeona kura za maoni zinazoendelea kupigwa kutoka Chadema na CCM kwenye kila jimbo.Chadema wanachagua wagombea ili baadae watakapokubaliana na wenzao CUF, NCCR Mageuzi, NLD, itabidi baadhi ya Majimbo … Read more »walumitz.blogspot.com